Leo Juni 05, 2016 Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imekaa katika kikao chake cha kawaida cha 18.
Kamati ya Utendaji imepitia taarifa mbalimbali za ligi na kukubaliana namna ya kuboresha mashindano mbalimbali ikiwamo Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Ligi Daraja la Kwanza ya Startimes, Ligi Daraja la Pili pamoja na Ligi ya Mabingwa wa Mkoa.
Kadhalika kamati iliangalia uendeshaji wa Ligi za vijana wenye umri wa chini ya miaka 20 na Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (TWPL) ambayo wiki iliyopita ilipata udhamini wa haki za kuonyeshwa kwenye televisheni kutoka kituo cha televisheni cha Azam.
Pia Kamati ya Utendaji imepitisha azimio la kanuni ya leseni ya klabu kuwa ni lazima ianze kutumika msimu mpya wa mashindano wa 2016/17.
Mahitaji ya kanuni hiyo ni pamoja na klabu kuwa na Watendaji wa kuajiriwa kama vile Katibu Mkuu (GS), Mkurugenzi wa Ufundi (TD), Ofisa Usalama (Security Officer) na taarifa ya fedha zilizokaguliwa pamoja na Meneja wa Fedha ambaye atakuwa na uwezo wa kuandaa taarifa za fedha zitakazokaguliwa na wakaguzi wa mahesabu.
Pia klabu zinatakiwa kuwa na ofisi, Uwanja wa mazoezi, kuendeleza program ya vijana ikiwa ni pamoja na kuwapa haki ya kusoma na na kwamba hakuna mmiliki mmoja anayeruhusiwa kuwa na timu zaidi ya moja katika ligi.
Pamoja na hayo Kamati ya Utendaji iliteua wajumbe wa kamati mbalimbali za kawaida na za kisheria. Orodha kamili ya kamati hizo hii.
KAMATI YA NIDHAMU.
TARIMBA ABBAS (MWENYEKITI).
ADVOCATE JEROME MSEMWA (MAKAMU MWENYEKITI).
KASSIM DAU.
NASSORO DUDUMA.
KITWANA MANARA.
KAMATI YA RUFANI YA NIDHAMU.
ADVOCATE ALOYS KOMBA (MWENYEKITI).
ADVOCATE ABDALLAH GONZI
ABDALLA MKUMBURA
DR FRANCIS MICHAEL
ADVOCATE TWAHA MTENGELA
KAMATI YA MAADILI
ADVOCATE WILSON OGUNDE (MWENYEKITI)
ADVOCATE EBEANAZER MSHANA (MAKAMU MWENYEKITI)
Eng MAHENDE MGAYA
HON SAID MTANDA.
HON GLORIUS LUOGA
KAMATI YA RUFANI YA MAADILI.
ADVOCATE WALTER CHIPETA (MWENYEKITI).
MAGISTRATE GEORGE GISANGETA (MAKAMU MWENYEKITI).
LILIAN KITOMARI.
HON DR FAUSTINE NDUGULILE.
BAKILI BAKARI ANGA.
KAMATI YA UCHAGUZI.
ADVOCATE REVOCATUS KUULI(MWENYEKITI).
ADVOCATE DOMINA MADELI (MAKAMU MWENYEKITI).
HAMIDU MAHMOUD OMAR.
JEREMIAH JOHN WAMBURA.
JUMA LALIKA.
KAMATI YA RUFANI YA UCHAGUZI.
ADVOCATE JULIUS LUGAZIYA (MWENYEKITI)
ADVOCATE MACHER SUGUTA (MAKAMU MWENYEKITI).
JUMA ABEID KHAMIS.
RASHID DILUNGA.
JOSEPH MAPUNDA.
KAMATI YA KATIBA, SHERIA NA HADHI ZA WACHEZJI.
RICHARD SINAMTWA (MWENYEKITI).
ADVOCATE RAYMOND WAWA (MAKAMU MWENYEKITI)
PASCAL KIHANGA.
BENISTER LUGORA.
DAVID MACHUMU.
KAMATI YA FEDHA NA MIPANGO.
WALLACE KARIA (MWENYEKITI).
OMARI WALII (MAKAMU MWENYEKITI).
GOODLUCK MOSHI.
ELLIE MBISE.
DEO LUBUVA.
KAMATI YA MASHINDANO.
GEOFREY NYANGE (MWENYEKITI).
RAMADHAN NASSIB (MAKAMU MWENYEKITI)
JAMES MHAGAMA.
ISACK CHANJI
CLEMENCE SANGA.
KAMATI YA UFUNDI.
KIDAO WILFRED (MWENYEKITI).
VEDASTUS RUFANO (MAKAMU MWENYEKITI).
AHMED MGOYI.
DAN KOROSSO.
PELEGRINIUS RUTAHYUGWA.
KAMATI YA MPIRA WA MIGUU WA VIJANA.
AYOUB NYENZI (MWENYEKITI).
KHALID ABDALLAH (MAKAMU MWENYEKITI).
STEVEN NJOWOKA.
MULAMU NGH’AMBI.
STEWERT MASSIMA.
KAMATI YA MPIRA WA WANAWAKE.
AMINA KARUMA. (MWENYEKITI).
ROSE KISIWA (MAKAMU MWENYEKITI).
ZENA CHANDE.
ZAFARANI DAMODER.
BEATRICE MGAYA.
SOFIA TIGALYOMA.
INGRIDY KIMARIO (KATIBU WA KAMATI).
KAMATI YA WAAMUZI.
SALOUM UMANDE (MWENYEKITI).
NASSORO SAID (MAKAMU MWENYEKITI).
CHARLES NDAGALA .
KANALI ISSARO CHACHA.
SOUD ABDI.
REFEREE DESK OFFICER WA TFF (KATIBU)
KAMATI YA HABARI NA MASOKO.
ATHMAN KAMBI (MWENYEKITI).
BLASSY KIONDO (MAKAMU MWENYEKITI).
GRACE HOKA.
AMIR MHANDO.
HAROUB SELEMANI.
KAMATI YA UKAGUZI WA FEDHA.
YAHYA HAMAD (MWENYEKITI).
AUDITOR ABDALLAH MUSSA (MAKAMU MWENYEKITI).
JACKSON SONGORO.
GOLDEN SANGA.
CYPRIAN KWIYAVA.
KAMATI YA TIBA.
DR PAUL MAREALLE (MWENYEKITI).
DR FRED LIMBANGA (MAKAMU MWENYEKITI).
DR MWANANDI MWANKEWA.
DR ELIEZER MDELEMA.
ASHA MECKY SADIK.
KAMATI YA FUTSAL NA BEACH SOCCER.
AHMED IDD MGOYI (MWENYEKITI).
HUSSEIN MWAMBA (MAKAMU MWENYEKITI).
SAMSON KALIRO.
BONIFACE PAWASSA.
APOLLO KIYUNGI.
MFUKO WA MAENDELEO YA MPIRA WA MIGUU
TIDO MHANDO (MWENYEKITI).
CEO WA MFUKO (KATIBU).
BEATRICE SINGANO
SALUM RUPIA
EPHRAIM MAFURU.
TARIMBA ABBAS.
MESHACK BANDAWE.
JOSEPH KAHAMA.
KAMATI YA AJIRA
WALLACE KARIA (MWENYEKITI)
VEDASTUS RUFANO (MAKAMU MWENYEKITI)
SELESTINE MWESIGWA (KATIBU WA KAMATI)
SAID MOHAMED
SALUM UMANDE CHAMA
IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF)
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)