Kenye kipindi cha XXL ya Clouds FM leo Januuary 24 2017 Soudy Brown amezungumza na mchekeshaji King Majuto kuhusu taarifa zinazosambazwa ambazo siosahihi kuwa amepata ajali na amefariki.
"Na mwaka huu mnataka kunia tena, mimi ni mzima, mara kwa mara wanatangaza mimi nimekufa…. mbaya sana", amesema Mzee Majuto
==> Msikilize hapo chini


Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)