Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Prof. Abdulkarim Mruma (aliyeshika panga) akitoa ufafanuzi juu ya uvumi kuwepo volcano leo katika eneo la Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi. Eneo la mbele waliposimama wananchi na viongozi lililoungua
ndio limeungua moto na kusadikiwa kuwa ni volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa Jioloji badala yake ulikuwa huo moto kawaida. Eneo la mbele waliposimama wananchi na viongozi lililoungua ndio lilisadikiwa kuwa ni volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa Jioloji badala yake ulikua ni moto wa kawaida.

Wananchi wakiwa katika eneo la Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi ilipodaiwa kuwepo kwa volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Prof. Abdulkarim Mruma badala yake amesema huo ulikuwa ni moto wa kawaida. Eneo la mbele waliposimama wananchi na viongozi lililoungua ndio lilisadikiwa kuwa ni volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa Jioloji badala yake ulikuwa ni moto wa kawaida.
Wananchi wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Misenyi Luteni Kanali Denis Mwila (aliyevaa koti jeusi) eneo la Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi ilipodaiwa kuwepo kwa volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Prof. Abdulkarim Mruma badala yake amesema huo ulikuwa ni moto wa kawaida.
Baadhi ya viongozi wakiwasili eneo katika eneo la Katarabuga, kata ya Bwanjai wilaya ya Misenyi ilipodaiwa kuwepo kwa volcano hatua ambayo imekanushwa na Mtendaji Mkuu wa Jiolojia badala yake huo ulikuwa ni moto wa kawaida.
PICHA 5: Tingatinga Lilivyofukua mamilioni yaliyokuwa Yamefichwa ardhini bofya hapa
Waziri atolea maelezo taarifa ya serikali kuhakiki watumishi wanavyotumia mishahara yao bofya hapa
Waziri atolea maelezo taarifa ya serikali kuhakiki watumishi wanavyotumia mishahara yao bofya hapa
TCRA yakipa onyo kali kituo cha runinga cha Clouds, Yakifungia kwa miezi 3 kipindi cha 'Take One' kwa kukiuka kanuni za utangazaji. bofya hapa
Polisi Aliyerekodiwa Akipokea Rushwa Kuchukuliwa Hatua bofya hapa
Jeshi La Polisi Nchini Latoa Onyo Kali Kwa Wananchi Wanaojichukulia Sheria Mkononi. bofya hapa
Tanzania na Congo DRC zimesaini mkataba wa makubaliano kutafuta mafuta Ziwa Tanganyika bofya hapa
Mambo Muhimu Waliyoyajadili Rais Magufuli na Rais wa Congo DRC Joseph Kabila wakati wa mkutano na Waandishi wa Habari Ikulu bofya hapa
Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)