Taarifa mpya kwa wanachama wa Yanga


Klabu ya Yanga inapenda kuwatangaazia wanachama wote wa Young Africans Sports Club (Yanga) kuwa patakuwa na mkutano mkuu wa dharura
siku ya Jumapili ya tarehe 23/10/2016.

Wanachama wote mnaombwa kufika bila kukosa ikiwa ni kwa faida na maslahi mapana ya timu yetu.

Agenda za mkutano pamoja na mahali mkutano mkuu utakapofanyika mtajulishwa mapema kabla ya siku husika kufika.

‘YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO’

Imetolewa na uongozi – Young African Sports Club.



















Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top