Rais Magufuli ateua Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, tarehe 02 Oktoba, 2016 amemteua Bw. Laston Thomas Msongole kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Bima la Taifa (NIC).


Bw. Laston Thomas Msongole anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Edmund B. Mndolwa ambaye amemaliza muda wake.


Uteuzi wa Bw. Laston Thomas Msongole umeanza tarehe 02 Oktoba, 2016.


Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam


02 Oktoba, 2016
 

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top