Hii Taarifa (katika picha) inasambazwa mitandaoni kwamba Imetoka IKULU. Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais ,Gerson Msigwa kasema ni ya uongo, imetengenezwa na watu wenye nia ovu hivyo ipuuzwe
Home
» habari za kitaifa
» Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais IKULU Asema Taarifa Hii Inayosambazwa Mitandaoni ni ya UONGO, Ipuuzwe
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)