Sakata la watumishi hewa sasa limefikia pabaya baada ya msako wa watu
wanaolipwa fedha bila kuwapo kazini kumkumba Mbunge Makete (CCM)
,
Profesa Norman Sigalla ambaye alikuwa mkuu wa Wilaya ya Songea.
Anadaiwa kupokea mshahara wake wa ukuu wa wilaya baada ya kuacha kazi hiyo wakati wa uchaguzi na daadae kuchaguliwa kuwa mbunge kwa tiketi ya CCM, alikua anachukua kiasi cha shilingi milioni 4.6 kila mwezi kwa kipindi cha miezi 5, hivyo ameisababishia serikali hasara ya milioni 23
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)