Masaburi afariki dunia



Aliyewahi kuwa Meya wa jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi amefariki dunia usiku huu Hospitali ya Taifa Muhimbili. Masaburi alikuwa akipatiwa matibabu hospitalini hapo, ambapo mpaka anafariki haijajulikana alikuwa akisumbuliwa na maradhi gani.


Masaburi pia aliwahi kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki enzi za uhai wake. Aidha katika Uchaguzi Mkuu uliopita aligombea ubunge Jimbo la Ubungo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM).



Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano October 12, 2016 bofya hapa




Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top