Wachambuzi wa masuala ya uchumi wameeleza mambo yatakayoliendesha kwa mafanikio Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL)
.
.
Wameeleza hayo ikiwa ni siku mbili baada ya Rais John Magufuli kupokea ndege mbili aina Bombadier Q400 zilizonunuliwa na Serikali kutoka Canada kwa ajili ya kukuza uchumi, utalii na kulifufua shirika hilo.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti hili, wamesema licha ya kuwapo kwa ushindani wa biashara, kuyumba kwa soko la usafiri wa anga, bado abiria wanaohitaji huduma hiyo wapo.
Wamesema mawakala wasiondolewe kwa kuwa hilo litaongeza gharama za uendeshaji na kulirudisha nyuma shirika hilo.
Mpina ataka wanaosoma 'cheti' nao wapewe mikopo bofya hapa
Pato La Taifa Lakua Kwa Asilimia 7.9 bofya hapa
Maalim Seif 'Kumshitaki' Lipumba kwa mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) bofya hapa
UPDATED!: List Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017 bofya hapa
Manispaa ya Temeke kugawanywa bofya hapa
Mapokezi ya viongozi CUF yaota mbawa bofya hapa

Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)