Uchambuzi wa Leo:Utapewa wa kufanana nawe....!!!


Na Mwl Joseph b Maduka

🔹Mungu anaposema utakupa wa kufanana nawe, hakumaanisha atakupa mtu unayefanana rangi, kabila, umbile au kimo

.

🔹Bali alimaanisha atakupa mtu mtakayefanana naye Katika UTU WA NDANI (Kiwango cha Imani, Tabia, hobbies and interest - mambo mnayaopenda na msiyoyapenda, mtazamo wa maisha na KUSUDI la Mungu).

🔹 Kwa ufupi Mungu anataka kukupa rafiki yako ambaye mtashirikiana Katika YOTE utakayopitia Katika Maisha.

🔹MKe au Mume mwema anapaswa kuwa rafiki MWEMA, yaani mbali na kuwa mke /mume wako anapaswa kuwa rafiki yako, unayejisikia furaha kuwa naye, kumshirikisha mambo yako na unayemuamini toka ndani kabisa ya Moyo wako.

🔹Mambo sijui ya urefu, handsome, umbo namba 8, sex body hayo ni NYONGEZA Katika SIFA ya mke /mume. Yakiwepo Shukuru Mungu, yasipokuwepo mtukuze Mungu Katika hilo pia.

🔹Uamuzi wa kuoa /kuolewa ni swala la hekima sana.. Kama bado haujaweza kufanya Maamuzi haya bado wewe ni Mtoto HAIJALISHI una miaka mingapi, Subir Ukikua ndio ufanye MAAMUZI ya kuingia kwenye Ndoa.

" NI HERI MKATOFAUTIANA NJE MKAFANANA NDANI, KULIKO MFANANA NJE MKATOFAUTIANA NDANI "

MITHALI 31 :30

# MARRIAGE IS FOR ADULT WHO ARE WISE ENOUGH TO MAKE DECISIONS, AND NOT FOR ADOLESCENTS WHO ARE DRIVEN BY EMOTIONS. 

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top