Manispaa ya Temeke yagawanywa

Manispaa ya Temeke imebaki na kata 23 kati ya 31, zilizosalia zikienda kwa manispaa mpya ya Kigamboni baada ya kufanyika mgawanyo
.

Pia, kumefanyika mgawanyo wa madiwani wa kata husika, wa viti maalumu na wabunge kulingana na jiografia ya manispaa hizo mbili.


Meya wa Temeke, Abdallah Chaurembo amesema manispaa hiyo inabaki na madiwani 31 wakiwamo wabunge wa majimbo ya Mbagala, Temeke na wa viti maalumu.


Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Nassib Mmbaga amesema baada ya kuvunjwa na kuzaliwa kwa Manispaa ya Kigamboni kutakuwa na uundaji wa kamati ambazo waliokuwa wajumbe wake wamehamishiwa Kigamboni.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top