VIDEO: Mbatia aizungumzia kauli ya Spika kuhusu maridhiano baina ya UKAWA na naibu Spika


Jana August 21 2016 kupitia kipindi cha funguka kinachorushwa na kituo cha television cha Azam Tv, mbunge wa Vunjo na mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi, James Mbatia aliizungumzia kauli iliyotolewa na Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano
kuwa anakusudia kutafuta maridhiano baina ya wabunge wanaounda umoja wa katiba, UKAWA na naibu Spika.


Mbatia alisema, Kauli ya Spika Ndugai ni kauli yenye kuleta matumaini kwa sababu wao ndani ya wabunge wa upinzani walichokuwa wanataka ni maridhiano....


Msikilize hapo chini akiongea



Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top