Video: James Lembeli akizungumza kuhusu hatma yake kurudi CCM


Wakati jana Rais Magufuli akiwa wilayani Kahama mkoani Shinyanga alimpa nafasi aliyekuwa Mbunge wa Kahama kwa tiketi ya CCM na baadae kuhamia CHADEMA, James Lembeli ili azungumze
.


Lembeli aliongea mambo kadhaa ikiwemo hatma yake kurudi CCM ambapo alisema yupo tayari kurudi iwapo Rais Magufuli atakisafisha chama kwa kuwashughulikia wanafiki na wala rushwa


Hapa chini ni maneno ya James Lembeli katika mkutano huo.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top