Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wa wakiwa moja ya maozezi yao ya kupasha viungo kabla ya kuanza mazoezi ya kutuliza ghasia
.
Askari Polisi wa kikosi maalum cha polisi (CRT) wa mkoa wa Iringa wakiwa katika mazoezi ya utayari wa kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza katika maeneo mbalimbali.
Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa mbalimbali wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kupambana na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu katika maeneo mbalimbali.
Askari wa vikosi vya kutuliza ghasia wa wakiwa na magari yao wakati wa mazoezi ya utayari wa kutuliza ghasia na kukabiliana na matukio yoyote ya uhalifu na wahalifu.
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoa wa Lindi wakifanya mazoezi magumu ya kijiweka tayari kukabiliana na matukio yoyote yatakayojitokeza ikiwemo watu wasiotii amri za Jeshi la Polisi ikiwa ni pamoja na kutofuata sheria za nchi.
Askari Polisi wa vikosi vya kutuliza ghasia wa mikoa ya Lindi, Iringa, kanda maalumu ya Dar es salaam na mikoa mengine wakipokea maelekezo mbalimbali wakati wa mazoezi ya tayari katika kukabiliana na matukio mbalimbali ya uhalifu na wahalifu (Picha zote na makao makuu ya Jeshi la Polisi.)
Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumamosiu August 20, 2016 bofya hapa
Wakuu Wa Shule Za Msingi 68 Kuvuliwa Vyeo Vyao Jijini Dar Es Salaam bofya hapa
Ajira zaidi bofya hapa
Azam Mabingwa Ngao ya Jamii bofya hapa
MANJI AJIUZULU YANGA bofya hapa
Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA
Wakuu Wa Shule Za Msingi 68 Kuvuliwa Vyeo Vyao Jijini Dar Es Salaam bofya hapa
Ajira zaidi bofya hapa
Azam Mabingwa Ngao ya Jamii bofya hapa
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)