News alert:Azam Mabingwa ngao ya Jamii


Azam wafuta uteja wao kwa Yanga katika mechi ya Ngao ya Jamii ambayo imechewa leo katika uwanja wa taifa, mpambano uliokuwa wa kuvutia na wa aina yake, Azam wamefanikiwa kupata ushindi
wa mabao 5-3 dhidi ya yanga.Mechi hiyo ililazimika kwenda penati baada ya kumalizika kwa 2-2 dakika 90, uchambuzi zaidi tutakuletea  baadae

 NEWS ALERT: MAKUBALIANO YA SIMBA NA MO KUHUSU MABADILIKO YA UENDESHAJI WA TIMU BOFYA HAPA

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top