Yanga yashindwa kutamba nyumbani dhidi ya Medeama ya Ghana

  
Timu ya Yanga ya Jijini Dar es salaam leo  yashindwa kutamba nyumbani dhidi ya Medeama ya Ghana leo katika kombe la shirikisho, Mchezo uliochezwa
katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam. Yanga wametoka sare ya Goli  1-1  dhidi ya Medeama ya Ghana. Mchezo huo ulikuwa na ushindani wa aina yake ambapo Yanga ilikuwa ya kwanza kuliona lango la mpinzani wake katika  kipindi cha kwanza kupitia mchezaji wao Donald Ngoma.Ambapo dakika ya 17 mchezaji wa Medeama Benard Danso akaisawazishia timu kwa kuifunga yanga, magoli yaliyoduma hadi dakika ya mwisho


 


Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top