Video:Mwenyekiti wa Chadema awahimiza wananchi wamuunge Mkono Rais Dkt Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Kijiji cha Nanga Wilaya ya Igunga Ndugu Masesa Kishiwa Makala kutoka Chadema wakati akiwa safarini kuelekea Nzega Mkoani Tabora
. 
Rais Dkt  Magufuli ameendelea na ziara yake Mkoani Tabora ambapo alisalimiana na Mwenyekiti wa Kijiji cha Nanga Wilaya ya Igunga Ndugu Masesa Kishiwa Makala kutoka Chadema wakati akiwa safarini kuelekea Nzega Mkoani Tabora.Katika Salamu zake mwenyekiti wa Kijiji hicho ndugu Kishiwa aliwahamasisha wananchi kumuunga Mkono Rais na kusema uchaguzi umekwisha wachape kazi  " ninaomba tumuunge Mkono Mh. Rais wetu, mambo ya Uchaguzi yamepita tuchape kazi, hapa kazi tu"alisema mwenyekiti huyo
Tazama Video hii


Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top