Taarifa kamili kuhusu habari ya Rais Magufuli kumteua Jerry Murro kuwa msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu


Baada ya taarifa kuenea kwenye mitandao ya kijamii kuwa Rais John Pombe Magufuli amemteua Jerry Murro ambaye alikuwa afisa habari wa Yanga kuwa msaidizi wa mawasiliano ya Rais Ikulu, kurugenzi ya mawasiliano
imekanusha habari hizo na kusema kuwa sio za kweli.


Barua iliyoandikwa kutoka Ikulu imesema ‘kuna taarifa zimesambazwa zikisema kuwa Rais Magufuli amemthibitisha Gerson Msigwa kuwa mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu huku msaidizi wake akiwa ni aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Murro, taarifa hizo sio za kweli na wananchi wazipuuze'   (Jerry Muro alia na mitandao ya kijamii bofya hapa)

News alert: Hizi ndizo tuzo za VPL 2015/2016 zilizotolewa Punde leo Jumapili July 17, 2016 Bofya hapa

JERRY MURO ASEMA KUNA MTU ANATUMIA AKAUNTI FEKI YA TWITTER KUPOTOSHA JAMII Bofya hapa 

Sauti ya Mrema baada ya kuteuliwa jana sikiliza bofya hapa


Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top