JERRY MURO ASEMA KUNA MTU ANATUMIA AKAUNTI FEKI YA TWITTER KUPOTOSHA JAMII

 
Mkuu wa idara ya Habari katika uongozi wa Yanga Jerry Muro ambae amefungiwa na shirikisho la mpira wa miguu hapa nchi TFF,kwa mwaka mmoja ametoa ufafanuzi kuhusiana na taarifa ambazo zinasambaa kupitia akaunti ya Twitter akisema kwamba hiyo akaunti
ni feki na kwa sasa ameshatoa malalamiko katika mamlaka husika na swala hilo linashughulikiwa

Kwa sasa kuna taarifa ambazo hazina ukweli zikisambaa katika baadhi ya mitandao zikisema Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania amemthibitisha ndugu Greyson Msigwa kua mkurugenzi wa mawasiliano huku msaidizi wake ni aliyekua ni msemaji wa klabu ya Yanga Jerry Cornel Muro.





Credit: Said Ally Mwandike  
News alert: Hizi ndizo tuzo za VPL 2015/2016 zilizotolewa Punde leo Jumapili July 17, 2016 Bofya hapa

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top