Nukuu na maneno ya Busara kutoka kwa baba wa Taifa Hayati Mwl Julius K. Nyerere

Baba wa Taifa Hayati Mwl Julius K. Nyerere
Kama taifa la taifa tuna wajibu wa kuenzi mema yote ambayo waasisi wa taifa hili walituachia leo jumanne July 12, 2016 tujikumbushe nukuu na busara kutoka kwa baba wa Taifa Hayati Mwl Julius K. Nyerere
" Wakati wa utawala wa awamu ya kwanza si kwamba rushwa haikuwepo, ilikuwepo lakini tulikuwa wakali sana.. Ikithibitika mahakamani kuwa mtu ametoa au kupokea rushwa hatukumuachia hakimu nafasi ya kutoa hukumu peke yake. Tukasema atakwenda ndani kwa miaka miwili na viboko 24....kumi na viwili siku anaingia kumi na viwili siku anatoka akamuonyeshe na mkewe" JK Nyerere!

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top