Euro 2016:Ureno watawazwa Mabingwa wa Euro 2016

Hatimaye Ureno wamefanikiwa kuchukuwa kombe la Euro 2016, kwa kuwafunga wapinzani wao Ufaransa  ambaye pia ni mwenyeji wa michuano hiyo,katika mechi iliyokuwa na mvuto wa aina yake, Bao pekee
ya mchezaji machachari wa Ureno Elder dakika ya 109 limewezesha timu ya Ureno kutawazwa mabingwa ya Euro 2016 Hadi kipenga cha mwisho Ureno 1-0 dhidi ya Ufaransa, Ikumbukwe kuwa Ureno hajawahi kuifunga Ufaransa kwa siku za hivi karibuni. Kwa ushindi wao huo wameweka historia katika mashindano hayo.Habari za magazeti ya Leo Jumatatu July 11, 2016 bofya hapa
Nafasi za Kazi Kampuni ya Acacia, Mwisho wa maombi ni July 15, 2016 Bofya hapa


Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top