Bi Hillary Clinton mkewe Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton, amekuwa mwanamke wa kwanza kupeperusha bendera ya chama kikubwa nchini Marekani baada ya kuidhinishwa na chama cha Democratic kuwaniahnafasi ya urais.
Wajumbe katika mkutano wa kitaifa wa Chama uliofanyika katika mji wa Philadelphia, wamemteua rasmi mwanamke huyo aliyekuwa Seneta na waziri wa mambo ya nje kama mgombea wao wa urais. Dakika chache zilizopita mumewe Bi Clinton alimaliza kulihutubia mkutano huo wa wajumbe.
Katika siku ya mwisho hapo kesho, Rais Barrack Obama na Bi Hillary Clinton watakuwa wazungumzaji wakuu katika mkutano huo wa wajumbe mjini Philadelphia.

Breaking news: Ajali mbaya ya Basi la UDA lagonga Treni Kariakoo,Mmoja Afariki, 45 Wajeruhiwa bofya hapa
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumatano July 27, 2016 bofya hapaNAFASI ZA KAZI BOFYA HAPA
Tume ya vyuo Vikuu Tanzania( TCU) yatangaza vyuo Vikuu vilivyofungiwa BOFYA HAPA
News alet:Majina ya wanafunzi waliochanguliwa kujiunga Certificate na Diploma na NACTE 2016/2017 bofya hapa
News alert:Tume ya vyuo Vikuu Tanzania( TCU) yatangaza vyuo Vikuu vilivyofungiwa BOFYA HAPA

Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)