China yazindua ndege inayoweza kupaa na kutua baharini


China imeunda ndege kubwa zaidi duniani ambayo ina uwezo wa kupaa au kutua kwenye maji au uwanja wa ndege.

Ikizinduliwa ndege hiyo ilishangiliwa
na umati wa watu katika mkoa ulio kusini wa Guangdong.

Waandisi wa Kichina wanasema kuwa ndege itatumiwa kupambana na moto wa msituni na kwa huduma za baharini hasa katika vituo vya China vilivyo eneo linalozozaniwa.


Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top