Breaking news: Papa Francis Aanguka Akiongoza Ibada Poland

Papa Francis ameanguka wakati akiongoza ibada leo huko nchini Poland mbele ya waumini na wanahabari.
Papa Francis mwenye umri wa miaka 79 ameanguka altareni na kusaidiwa na wasaidizi
wake ila hakuumia na kuendelea na ibada hiyo hadi mwisho.
Papa yupo ziarani nchini humo na alikuwa na ibada hiyo kusini mwa mji wa Czestochowa.





Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top