Tusk: Umoja wa Ulaya uimarishwe

Donald Tusk Rais wa umoja wa ulaya

Rais wa baraza la umoja wa ulaya, Donald Tusk ,amesema kuwa kupambana na wimbi la kuupinga umoja wa huo na kusema unapaswa
kuachana na ndoto za kuufunga uhusiano huo.

Amesema kuwa viongozi wa umoja wa ulaya wanatakiwa kuwa makini hususan kwa vitendo kama vile kuimarisha mipaka na kukamilisha muungano wa benki.

Akihutubia kongamano la wafanyabiashara mjini Brussels,Tusk ameonya kuwepo kwa madhara makubwa kama Uingereza itaondoka katika umoja huo.

Amewataka viongozi wa ulaya kuungana na kupambana na wale wanaotaka kuvunja muungano

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top