Ubelgiji yailaza Jamhuri ya Ireland

Witsel wa Ubelgiji akisheherekea bao lake
Romelu Lukaku alifunga mabao mawili huku timu ya taifa la Ubelgiji ikipata ushindi wake wa kwanza katika michuano ya Euro2016 na kuharibu fursa ya timu ya Jamhuri ya Ireland kufika robo fainali.

Baada ya kukamilika kwa kipindi cha kwanza ambapo hakuna timu ilioona lango la mwengine,Lukaku aliifungia Ubelgiji bao la kwanza baada ya kupata pasi muruwa.Ubelgiji
Baadaye Axel Witsel alifunga bao la pili kupitia kichwa katika dakika ya 61,kabla ya Lukaku kufunga bao la tatu baada ya kushambulia ngome ya Ireland.Lukaku

Timu ya Jamhuri ya Ireland ilishindwa kufanya mashambulio katika ngome ya Ubelgiji.
HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top