
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, ametoboa siri ya Chuo Kikuu cha Dodoma kudahiri wanachuo wengi wasio na sifa "niliongea na makamu mkuu wa Chuo cha Dodoma akasema alilazimishwa kuwadahili sasa yeye angefanyaje afukuzwe kazi?" alihoji Rais Magufuli. Amempongeza waziri wa elimu Profesa Ndalichako kwa hatua anazochukua kusafisha elimu, serikali yake haiwezi kuwalipia vilaza ambao hawajafaulu, kasema hili halik, amesema hayo katika hafla ya kuweka jiweujenzi wa maktaba mpya ya kisasa


Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)