Magufuli hula chakula kilichopikwa tu na mkewe



Rais Dkt John Magufuli

Baada ya kutambuliwa kama mtu mwenye msimamo mkali na asiyependa dhihaka, ambaye huwafuta watu hadharani, huenda sasa Rais wa Tanzania John Magufuli ana

maadui wengi.

Sasa akiwa ikulu na kama njia ya kuchukua tahadharia, inaripotiwa kuwa Magufulu hula chakula kilichopikwa tu na mke wake.

Kulingana na gazeti la Financial Times ni kwamba hili limedhihirika kutoka na upinzani anaokumbana nao.

Lakini hilo halijathibitiswa wala gazeti la Financial Times halijasema ni jinsi gani walipata uvumi huo.
Source :BBC
Habari zilizopo katika Magazeti ya Leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumatano June 29, 2016 Bofya hapa


Breaking news: Rais Magufuli ateua Wakuu wa Wilaya na kufanya mabadiliko kidogo ya wakuu wa mikoa bofya hapa  




Breaking news: Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameteua wakuu wa wilaya 139, na amefanya mabadiliko madogo ya wakuu wa mikoa Bofya hapa



Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

HABARI KUU LEO BOFYA HAPA

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top