LOWASSA KUTUNUKU VYETI DAR LEO

Waziri mkuu mstaafu na Mjumbe wa kamati Kuu ya chadema Leo katika ukumbi wa karemjee atakuwa mgeni rasmi katika mahafali ya CHADEMA students organization CHASO.

Atakabidhi vyeti kwa wahitimu wa vyuo mbalimbali vya elimu ya juu ambao ni wanachama wa CHASO,kabla ya kuzungumza na watanzania kupitia hadhara hiyo.

Muda: kuanzia Saa 4.00 asubuhi
Siku: Leo Jumamosi
Tarehe: 18th June 2016
Ukumbi: Karimjee Hall.
HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top