KILA LA HERI DAR YOUNG AFRICANS!

Yanga Leo inashuka dimbani kumenyana na Mo Bejaja ya Algeria majira ya saa sita na robo usiku, shime watazania tuangune sote kuiombea na kuitakia Yanga kila la heri ili iweze kushinda katika michuano ya Makundi ya kombe la shirikisho.
Uchambuzileo.blogspot tunapenda kuitakia Yanga kila la heri katika mechi hii muhimu, Mungu ibariki Young Africans, Mungu ibariki Tanzania

Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumapili June 19, 2016 bofya hapa


HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top