Hiki ndicho Kikosi cha Mauwaji cha Yanga dhidi ya Mo Bejaja (Algeria) kombe la shirikisho leo jumapili June 19, 2016

Hiki ndicho Kikosi cha Yanga kitakachopambana na warabu leo usiku katika uwanja wa Unite Maghrebine huko Algeria shima Watanzania tuiombee Yanga ipate ushindi

First eleven
1: Deogratius Munishi 'Dida'
2: Mbuyu Junior Twite
3: Oscar Fanuel Joshua.
4: Kelvin Patrick Yondani 'Cotton'
5: Vicent Bossou
6: Thabani Michael Kamusoko
7: Simon Happygod Msuva
8: Harouna Fadhil Niyonzima
9: Donald Dombo Ngoma
10: Amiss Jocelyn Tambwe
11: Deus David Kaseke

Benchi

Ally Mustafa Mtinge 'Bathez'
Mwinyi Haji Ngwali
Pato George Ngonyani
Antony Saimon Matheo
Juma Said Makapu.
Godfrey Furaha Mwashiuya

Like page yetu ya facebook upate habari kwa urahisi na haraka zaidi BOFYA HAPA

Magazeti ya leo jumapili june 19, 2016 bofya hapa

Vibonzo:Katuni tano bora zaidi leo Jumapili June 19, 2016 bofya hapa


HABARI KUU LEO BOFYA HAPA
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top