Euro 2016:Jamhuri ya Czech watoshana nguvu na Croatia


Euro 2016 imeendelea tena leo ambapo Mchezo uliomalizika hivi punde Jamhuri ya Czech yatoshana nguvu na Crotia. Mchezo huo ulikuwa na ushindani wa
aina yake huku mashabiki wakishangilia timu zao kwa hamasa kubwa.Katika mechi hiyo Jamhuri ya Czech na Crotia zimetoka  sare ya 2-2. Mchezo ulisimama kwa muda baada ya mashabiki kurusha pashipashi (Mafataki ya moto) uwanjani


Moshi wa mafataki  (Pashipashi )baada ya mashabiki kurusha uwanjani 
Habari kuu leo Bofya hapa
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top