Euro 2016: Italy yailaza Sweden dakika za mwisho

Eder akishangilia goli lake baada ya kuifungia timu yake ya Italy
Italy waliumana vikali na Sweden hatua ya 16 bora ya michuano ya Euro muda mfupi, katika mchezo wa kundi E ulifanyika kwenye uwanja wa Stade
 de Toulouse uliopo manispaa ya manispaa ya Tolouse.
Marco Parolo alikosa nafasi nzuri katika dakika ya 82. 

Italy imefanikiwa kupiga hatua baada ya kuilaza Sweden 1-0 goli lililofungwa na Mchezaji Eder dakika ya 88
Sweden imeweke kwenye wakati mgumu ambapo ili iweze kupenya katika kundi E inatakiwa kushinda mechi ambayo itatacheza na Belgium

Leonardo Bonucci na Zlatan Ibrahimovic wakimenyana vikali katika mechi hiyo

Ibrahimovic baada ya kukosa goli
Katika mechi hiyo Sweden walimiliki mpira kwa muda mrefu lakini hawakufanikiwa kutikisa nyavu za Italy
Eder akishangilia goli dakika za mwisho 
Sweden walishindwa kutumia vizuri nafasi nzuri dakika ya 72 ambayo ilitengenezwa na Martin Olsson alitoa pasi nzuri kwa  Sebastian Larsson lakini hakuweza kupachika mpira golini

Antonio Candreva akimenyana na  Martin Olsson

Habari kuu leo Bofya hapa

Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top