Wakuu wa Mikoa na wakuu wa wilaya wakitizama eneo moja wapo la chanzo cha <endelea bofya kichwa cha habari hii juu>
Mto Tarangire.
Mto Tarangire.
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu ,Anthony Mtaka (kushoto) akizungumza jambo na Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Saidi Mecky Sadick walipokuwa wakitizama sehemu ya chanzo cha Mto Tarangire.
Kundi la Tembo likivuka mto .
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro,Said Mecky saidick pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Meja Jenerali Mstaafu ,Raphael Mhuga wakitizama bidhaa katika moja ya maduka yaliyopo katika Hoteli ya Tarangire Safari Lodge.
Mkuu wa Mkoa wa Katavi,Meja Jenerali ,Raphael Mhuga akitoa neno la Shukrani kwa niaba ya wenzake kwa uongozi wa Shirika la Hifadhi za Taifa,(TANAPA) baada ya kuhitimisha ziara ya kimafunzo katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire.Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)