Zitto kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa facebook < endelea bofya kichwa cha habari hii juu>
Wabunge wa Upinzani Bungeni wameamua kutoa Hoja ya kutokuwa na Imani na Naibu Spika kwa mujibu wa kanuni ya 138(1) ya Kanuni za Bunge na Ibara ya 85(4)(c) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)