Akamatwa kwa kuvaa fulana yenye picha ya Besigye

Polisi wanasema kuwa watu hao walikamatwa kwa sababu walikuwa wamepanga kufanya maandamano

Baadhi ya<endelea bofya kichwa cha habari hii juu> raia nchini nchini Uganda wamelaumu hatua ya kukamatwa kwa mwanamme moja ambaye anadaiwa kuvaa fulana yenye picha na kiongozi wa upinzani Kizza Besigye.

Samson Tumusiime alikamatwa mwishoni mwa wiki.

Hivi majuzi aliweka picha kwenye mtandao wa Facebook akiwa amevaa fulana hiyo.

Watu wengine wawili ambao wanadaiwa kuchapisha fulana hiyo nao wamekamatwa

Kulingana na msemaji polisi Fred Enanga, ni kuwa washukiwa hao watatu walikamatwa kwa sababu walikuwa wamepanga kufanya maandamano yaliyo kinyume na sheria.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top