Video:Leo katika bunge kutoka Dodoma, fuatilia mijadala ya bunge


SIMU.TV: Mbunge wa Mchinga Mhe.Hamidu Bobali aihoji serikali juu ya uhaba wa shule za <endelea bofya kichwa cha habari hii juu>
sekondari mkoani Lindi jambo linalosababisha wanafunzi kusoma mbali. https://youtu.be/pfX8zQPwGMM

SIMU.TV: Sikiliza mpango wa serikali ya kuipatia halmashauri mpya ya Kavuu ambayo mapato yake bado ni madogo mawasiliano ya barabara.https://youtu.be/unxoMHE–tk

SIMU.TV: Je ni lini serikali itatekeleza mpango wa kujenga zahanati katika kila kijiji na hospitali kila wilaya? Haya hapa majibu ya serikali. https://youtu.be/RMPOuZZTeMM

SIMU.TV: Mhe.Luhaga Mpina awataka wabunge kuwa mfano kwa jamii kwa kushiriki katika usafi wa mazingira na kutunza mazingira kwa ujumla. https://youtu.be/y8S4GcOM9jQ

SIMU.TV: Je sheria ya ushirika wa tumbaku iliyorekebishwa 2013 imewanufaishaje wakulima moja kwa moja? Mh.Olenasha anatoa majibu ya serikali.https://youtu.be/IbNufCS5CZk

SIMU.TV: Waziri Charles Mwijage akijibu swali la Mhe.Chagula juu ya ukosefu wa ajira za viwandani kwa vijana wa mkoani Geita.https://youtu.be/lRodtWoHpQY

SIMU.TV: Serikali yatoa wito kwa wawekezaji kuwekeza katika viwwanda vidogo vya pamba ili kuongeza thamani ya zao hilo. https://youtu.be/11sAO3oEkwU

SIMU.TV: Serikali yasuka mikakati kabambe kushughulikia wafanyabiashara wasio waaminifu wanaotumia bandari bubu kupitisha bidhaa kinyemela. https://youtu.be/brrnTFEGM0g

SIMU.TV: Mh.John Kadutu aitaka serikali kuweka mikakati ya ujenzi wa barabara ya kutoka Tabora hadi Bulyanhulu. https://youtu.be/Jlo084id8cw


Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top