Tafakari katika katuni leo jumatano may 18, 2016


Masoud Kipanya akiwa kwenye ubora wake; Kama Tokyo Kama Dar!

Hapa Masoud Kipanya amefanikiwa kuonyesha jinsi jamii ( Na pengine baadhi ya <endelea bofya kichwa cha habari hii juu>watu wa Dar es Salaam) walivyo na hulka ya kulalamika. Enzi hizo waliahangaika kwa kupanda nyuma ya pickups kwenda makazini. Ikaja ' Chai- Maharage' , zikaingia Coaster luxury, na sasa mabasi ya heshima yanavinjari kwenye barabara za mji. Haitoshi, " Tunataka kama ya Japan Bwana..!"





Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top