Rais Maduro kuongeza mamlaka

Rais Nicolas Maduro wa Venezuella

Rais wa Venezuella, Nicolas Maduro, amesema yuko tayari kuongeza mamlaka yake chini ya utawala wa <endelea bofya kichwa cha habari hii juu>hali ya hatari iliyotangazwa wiki iliyopita.

Hatua hiyo imefikiwa ili kukabiliana na waandamanaji wanaopinga serikali ya taifa hilo. Maduro amedai kuwa upinzani unachochea ghasia na pia kupanga njama ya kuipindua serikali yake. Amesema hatasita kuchukua hatua zinazofaa ili kudumisha amani nchini Venezuela, ambayo inakabiliwa na mzozo mkubwa wa kiuchumi.

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top