Matokeo haya pekee ndiyo yataipeleka Manchester United nafasi ya nne kesho

Manchester United anaweza kumaliza nafasi ya nne ligi kuu ya Uingereza VPL iwapa kesho ataifunga <Endelea bofya kichwa cha habari hii juu>
Bournemouth magoli 19 na wakati huohuo wasikubali kufungwa goli hata moja, wachambuzi wa mpira wa miguu wanasema uwezekano huo ni mdogo sana.

Mechi ya mwisho katika ligi ya soka ya uingereza, EPL, kati ya Manchester united na Bournemouth iliahiirishwa jana kufuatia wasiwasi wa bomu, uwanjani Old Trafford. Mapema leo imegundulika ni bome feki, Mechi hiyo itarudiwa kesho

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top