MTOTO AHMED THABIT ANAHITAJI MSAADA WA MATIBABU KUTOKANA NA KUSUMBULIWA NA UGONJWA WA KUSINYAA UBONGO TANGU AZALIWE MIAKA MIWILI NA NUSU ILIYOPOTA.
MATIBABU YAKE YAMESHINDIKANA HAPA NCHINI NA FAMILIA IMEFANYA UCHUNGUZI NA KUPATA HOSPITALI YA MING MEDICAL CENTRE NCHINI MALAYSIA AMBAYO INA UWEZO WA KUTIBU TATIZO LAKE KWA GHARAMA YA DOLA ZA KIMAREKANI ELFU 45 TAKRIBANI SHILINGI MILIONI 99 ZA KITANZANIA..
KWA YEYOTE ATAKAYEGUSWA AWASILIANE NA MAMA WA MTOTO ARFA KHAN KWA SIMU NAMBARI 0677 999 567 AU 0657 384444 AU AKAUNTI NAMBA 006 – 2135158 BENKI YA BACLAYS.
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)