Kauli ya Julius Mtatiro baada ya Waziri Kitwanga Kutumbuliwa

Hii ndio kauli ya Julius Mtatiro baada ya waziri Kitwanga 

Kwa hili nampa JPM tiki. Lakini, Kama Serikali haitachukua hatua dhidi ya wote walioshiriki kwenye kashfa ya LUGUMI itakuwa tunapiga MARK TIME. Tunataka ukweli uwekwe hadharani! Kama wewe ni Mdadisi wa mambo unaweza kuchokoza kidogo kwamba ".... Waziri anafukuzwa kazi kwa kulewa ndani ya Bunge na SIYO kuhusika na kashfa ya mabilioni ya Fedha na mgongano wa kimaslahi".
All in all kwa hatua za awali uamuzi huu wa Rais ni muhimu.
Mtatiro J

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top