DCM LAPARAMIA NGUZO NA KUJERUHI WATU KADHAA

Gari aina ya DCM linalofanya safari zake kati ya Gongo la Mboto na Masaki jijini Dar es Salaam likiwa limeinuliwa baada ya kupinduka leo mchana eneo la<endelea bofya kichwa cha habari hii juu> Kipawa Njia Panda ya Jet Lumo, Dar es salaam. 
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa ni kumkwepa mwendesha baiskeli. Watu kadhaa wanadaiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamelazwa katika hospitali za Amana na Muhimbili.
(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Wananchi wakiliangalia paa la gari hilo lililokatwa kwa kupata urahisi wa kuwatoa majeruhi waliokuwemo kwenye gari hilo


Lenzi ya jicho la blog ya ujijirahaa ilipata kuona katika ajali hiyo kitu kinacho sadikika ni hirizi iliyokua juu ya Gari hilo imeshonwa kwa nyuzi nyeusi iliyovishwa kitambaa cheusi
Gari hilo likitarajiwa kuvutwa kuondolewa eneo la tukio



Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top