Kutana na Mr. Misheto junior katika uhamasishaji na uzinduzi wa kitabu "PENDO LISILO KIFANI"

Je wajua kuwa kuna utajiri mkubwa sana wa maarifatunaupoteza kwa kutokusoma vitabu, basi karibu katika uzinduzi wa kitabu" PENDO LISILO KIFANI"
kitakachozinduliwa na mhamasishaji wa kimataifa Mr. MSHETO Jr.
UZINDUZI NI : Jumamosi Tarehe 8/4/2017
MAHALI: Kanisa la WAADVENTISTA WASABATO BUGURUNI SDA CHURCH
BURUDANI: Kwaya mbalimbali zitaimba na kumsifu bwana.
Vile tunavyoishi yaani kula, kunywa na imani zetu katika maisha ndio vinajenga au kubomoa maisha yetu, Basi kutana na Mhamasishaji asiyechoka wa usomaji vitabu upate kuongeza uelewa , karibu sana na vitabu vinagawiwa bure kabisa vinapitikanakanisani buguruni na ofisi za M production ilala

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top