.
Kampuni ya ndege ya Fastjet imepanga kuingiza nchini ndege moja jamii ya Embraer 190 ili kukabiliana na hali ngumu ya sasa ya kibiashara
.
Jana Mkurugenzi Mkuu wa kampuni hiyo, John Corse amesema ndani ya wiki mbili zijazo wataingiza ndege mpya katika safari zake ikiwa ni sehemu ya majaribio ya kutekeleza mkakati wa mabadiliko.
“Tunatarajia ndege hiyo itakuwa jamii ya Embraer 190 na itafanya kazi kwa mujibu wa kanuni ya ‘waitlist’. Baada ya kufanya uchambuzi wa kina tulibaini aina hii ya ndege zinaendana na mazingira ya kibiashara ya sasa,” amesema Corse.
Amesema mchakato wa kubadilisha aina ya ndege utafanyika polepole na huenda ukachukua zaidi ya miezi sita ili kuendana na mahitaji ya sera na sheria za udhibiti wa mawasiliano ya anga nchini.
Habari zilizopo katika magazeti ya leo ijumaa september 23, 2016 bofya hapa
List Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017 bofya hapa
PICHA 12 NDANI NA NJE ZA NDEGE MPYA BOFYA HAPA
Ndege mpya ya ATCL yatua nchini, utaratibu wa mapokezi rasmi wapangwa bofya hapa
Nafasi za kazi bofya hapa
Nafasi za kazi bofya hapa
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)