Rais John Magufuli
Serikali imesema ujenzi wa daraja refu kuliko yote nchini la Selander utaanza Juni mwakani.
Rais John Magufuli amesema hayo jana baada ya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini, Song Geum-Young Ikulu jijini Dar es Salaam. Amesema wameshapata fedha kutoka Benki ya Exim ya Korea.
Septemba mwaka jana, aliyekuwa Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum alisaini hati ya mkataba wa makubaliano ya mkopo wa Dola 91 milioni za Marekani sawa na zaidi ya Sh196 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa daraja hilo.
Magufuli amesema mchakato wa kulijenga daraja hilo litakalounganisha eneo la ufukwe wa Coco na Aga Khan kupitia baharini unaendelea vizuri na sasa kampuni inayofanya usanifu kutoka Korea ipo kwenye hatua za mwisho.
Habari zilizopo katika magazeti ya leo ijumaa september 23, 2016 bofya hapa
List Ya Vyuo Vilivyotoa Selection Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Vyuo Vikuu Mbalimbali 2016/2017 bofya hapa
PICHA 12 NDANI NA NJE ZA NDEGE MPYA BOFYA HAPA
Ndege mpya ya ATCL yatua nchini, utaratibu wa mapokezi rasmi wapangwa bofya hapa
Nafasi za kazi bofya hapa
Nafasi za kazi bofya hapa
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)