
kutoka serikalini.
Mwanasheria wa chama hicho Tundu Lissu amesema hakuna mtu toka Chadema anayetaka kumjaribu mtukufu Rais na wala hakuna anayetaka kukamatwa na Polisi kwa sababu mahabusu sio pazuri.
"Tunachotaka kukifanya ni ambacho kipo katika katiba, mikutano na maandamano ya kisiasa kwakuwa ni halali. Kama kufanya hivyo Rais Magufuli anafikiri tunamjaribu hayo ni mawazo yake" Amesema Tundu Lissu
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)