Muhammad Ali alikuwa mtu wa kujigamba kupita kiasi, lakini alikuwa na kila sababu ya kufanya hivyo. Alikuwa na kipaji cha pekee kwenye ndondi
, alikuwa na kasi sana na nguvu pia. Alianza kujulikana aliposhinda dhahabu Michezo ya Olimpiki ya Roma 1960. Tazama video hii chini
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)