Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, amemteua Prof. Sufian Hemed BUKURURA kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuanzia tarehe 30 Mei, 2016.
Kufuatia uteuzi huo, Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Profesa Sospeter M. Muhongo (Mb.), amewateua wafuatao kuwa Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TPDC kuanzia tarehe 3/6/2016 hadi tarehe 2/6/2019;
1. Mhe. Jaji Josephat M. Mackanja
2. Balozi Dkt. Ben Moses
3. Prof. Abiud Kaswamila
4. Prof. Hussein Hassani Sosovele
5. Dkt. Shufaa Al-Beity
6. Bi. Mwanamani Kidaya
Imetolewa na;
KATIBU MKUU
3 JUNI, 2016
Post a Comment
Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)