BREAKING NEWS:Waliofukiwa na kifusi Mgodini Mkoani Geita Waokolewa


Baada ya jana kupatikana kwa taarifa za matumaini ya kupatikana kwa Wachimbaji 15 waliokuwa wamefukiwa na kifusi kwenye mgodi huko Geita
, leo asubuhi January 29 2017 zimeripotiwa habari njema kwamba wachimbaji wote 15 wameokolewa wakiwa hai.

Endelea kuwa karibu na www.uchambuzileo .com tutakuletea taarifa kadri zitakavyotufikia


Hii ni picha kutoka kwenye eneo la tukio asubuhi hii


Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Jumapili January 29, 2017 bofya hapa 

Post a Comment

Toa maoni tu (kejeli na matusi marufuku)

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright UCHAMBUZI LEO | Modified By Smart WEB
Back To Top Back To Top